JEMBE LINGINE LINALOTAJWA KUMALIZANA NA SIMBA HILI HAPA
CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba. Mugalu anatajwa kumalizana na Simba…
CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba. Mugalu anatajwa kumalizana na Simba…
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Yanga kwa msimu wa 2019/20 amesema kuwa hakupenda kuondoka ndani ya kikosi hicho mapema. Akiwa…
SHARAF Shiboub, kiungo wa Simba aliyeibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Sudan, shujaa wa mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC anatajwa…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
Adam Oseja kipa namba mbili wa Namungo FC ya Lindi anasema kuwa msimu wa 2019/20 ulikuwa na ushindani wa kipekee ana imani 2020/21 atafanya…
LARRY Bwalya kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia amemalizana na Simba kwa dili la miaka miwili leo Agosti 15. Nyota huyo…
DAVID Kameta maarufu kama Duchu leo Agosti 15 ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kwa Mabingwa…
INAELEZWA kuwa Larry Bwalya na Walter Bwalya wote raia wa Zambia wapo kwenye rada za kuibukia ndani Simba na Yanga.Larry Bwalya mwenye miaka 25 yeye…
TAARIFA kutoka Yanga kumtimua Ofisa Masoko ndani ya Klabu ya Yanga
IBRAHIM Mohamed,’Mo Ibra’ kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba amemalizana na Kagera Sugar kwa dili la miaka miwili. Kiungo huyo alikuwa anakipiga ndani…