Uncategorized

BREAKING: BWALYA ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI

admin August 15, 2020 2:47 pm

 

LARRY Bwalya kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia amemalizana na Simba kwa dili la miaka miwili leo Agosti 15.

Nyota huyo ametua leo Bongo kwa ndege ya shirika la Ethiopia Airlines na kumalizana na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania.


Nyota huyo ana uwezo wa kutumia mguu wa kushoto anaungana na kiungo mwenzake mnyumbulifu Clatous Chama, mwamba wa Lusaka ambaye naye anatokea pia Zambia.


Chama amekuwa na msimu mzuri kwa mwaka 2019/20 akitwaa tuzo ya mchezaji bora na kiungo bora anaungana na kiungo huyo ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho kitakachoiwakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa.

KIPA NAMUNGO FC AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR NA RUVU KOCHA MPYA YANGAA MZIGONI WIKI IJAYO,MORRISON AANZA KAZI SIMBA, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply