Uncategorized
KIPA NAMUNGO FC AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR NA RUVU
admin
August 15, 2020
2:47 pm
Adam Oseja kipa namba mbili wa Namungo FC ya Lindi anasema kuwa msimu wa 2019/20 ulikuwa na ushindani wa kipekee ana imani 2020/21 atafanya makubwa zaidi.
Inaelezwa kuwa Kagera Sugar, Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting zinaiwinda saini yake.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.