admin
LIVERPOOL INA SIFA, YAIPIGA MKONO CHELSEA
LIVERPOOL usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 5-3 mbele ya Chelsea wakati wakikabidhiwa Kombe lao la Ligi Kuu England.Mchezo huo uliochezwa...
MINZIRO:NINGEPEWA MBAO MAPEMA KWA SASA NISINGEKUWA NA PRESHA YA KUSHUKA DARAJA
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Mbao FC amesema kuwa angepewa timu mapema isingekuwa kwenye hali ya kupambania kushuka daraja kama inavyofanya sasa.Minziro ameweza kurejesha...
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA COASTAL UNION LEO, MKWAKWANI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unahitaji pointi tatu leo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni.Simba inakutana...
AZAM FC YATAJA SABABU YA KUHITAJI NAFASI YA PILI
UONGOZI wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba umesema kuwa kushika kwao nafasi ya pili kwenye msimamo ni heshima kubwa hasa kwa...
SINGIDA UNITED YAIPA SOMO LA KUTOSHA DODOMA FC
MBWANA Makatta, Kocha Mkuu wa Dodoma FC ambayo imeshashika mkononi tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 amesema kuwa wamejifunza kupitia kuporomoka...
SIMBA YAIKIMBIZA YANGA,AZAM FC NDANI YA BONGO
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweza kukiongoza kikosi chake kuweka rekodi za kibabe ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwakimbiza wapinzani wake wote...
YANGA YAFANYA MAAMUZI MAGUMU KUHUSU MORRISON
LUC Eymael,raia wa Ubelgiji, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hataki kusikia kabisa jina la kiungo wa Yanga, Bernard Morrison.Maamuzi hayo magumu...
RATIBA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI
LEO ndani ya Ligi Kuu Bara, Julai 23 mambo yapo namba hii:-Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam ComplexLipuli FC v Ruvu Shooting,...
MIDO HATARI BONGO AKUBALI KUTUA YANGA, ISHU YA SVEN KUPEWA MECHI...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA, VITA YA KUSHUKA MAMBO NI MOTO
Msimamo wa Ligi Kuu Bara, vita ya kushuka mambo ni moto