MABOSI JUVENTUS WAMSHUSHIA LAWAMA CR 7 KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA ULAYA
UONGOZI wa Juventus umemshushia lawama nyota wao namba moja ,Cristiano Ronaldo kuwa anatumia njia nyingine mbadala ya kutaka kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya…
UONGOZI wa Juventus umemshushia lawama nyota wao namba moja ,Cristiano Ronaldo kuwa anatumia njia nyingine mbadala ya kutaka kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Abubakar Salum amesema ni muda muafaka kwa mwanaye kukipiga ndani ya kikosi cha Yanga…
KOCHA Msaidizi wa Simba Suleiman Matola, leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kwa niaba ya Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha…
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amechaguliwa kuwa Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20.Tuzo imepokelewa na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga.…
NICOLAS Wadada, beki wa Azam FC leo Agosti 7 amekabidhiwa tuzo ya beki bora kwa msimu wa 2019/20. Wadada amewashinda wachezaji wenzake aliokuwa akipambana nao…
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba leo Agosti 7 ametwaa tuzo ya Kiungo Bora ndani ya msimu wa 2019/20. Kilele cha sherehe hizo ni ukumbi wa…
PASTON Shikala, nyota wa Mbeya City ameibuka mshindi wa tuzo ya bao bora kwa msimu wa 2019/20. Bao la Shikala lilipatikana kwenye mchezo wa Ligi…
HIKI hapa Kikosi Bora cha msimu wa 2019/20 1. Aishi Manula. 2.David Luhende. 3.Nicolaus Wadada 4.Bakari Nondo 5.Pascal Wawa 6.Zawadi Mauya 7.Lucas Kikoti 8.Clatous Chama 9.Meddie…
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amezua jambo lake kwenye mazoezi ya maandalizi ya mchezo wa TeamSamatta na TeamKiba yaliyofanyika Uwanja wa Mkapa,…