NAMUNGO FC NAO WAMALIZANA NA JEMBE LA KAZI KUTOKA LIPULI ASAINI MIAKA MIWILI
FREDY Tangalo kiungo wa Lipuli, leo amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya Namungo FC ya Lindi.Kiungo huyo amesaini dili hilo akiwa ni…
FREDY Tangalo kiungo wa Lipuli, leo amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya Namungo FC ya Lindi.Kiungo huyo amesaini dili hilo akiwa ni…
JUMA Abdul, leo Agosti 5 ameachana na timu yake ya Yanga baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwenye suala la mkataba wake.Abdul ndani ya Yanga alikuwa…
NDANI ya Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi usikose nakala yako
MABADILIKO ndani ya kikosi cha Yanga kuelekea msimu wa 2020/21 kwa sasa yanaendelea baada ya dirisha la usajili kufunguliwa Agosti Mosi na linatarajiwa kufungwa Agosti…
TIMU ya Simba Queens leo Agosti 5 imeibuka na ushindi wa mabao 5 -0 mbele ya Baobab Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake uliochezwa…
Benchi la ufundi la timu ya Ruvu Shooting Star, limeacha wachezaji *watano* ambao walikuwemo katika kikosi cha timu hiyo msimu wa 2019/20. Aidha benchi hilo…
MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuwa Team Kiba hawatakubali tena kufungwa na Team Samatta katika mtanange wa hisani wa SamaKiba Foundation ambao unakwenda kupigwa…
KELVIN Yondani, beki kisiki ndani ya Klabu ya Yanga iliyo kwenye mchakato wa mabadiliko kwa sasa inaelezwa kuwa amegoma kusaini dili jipya la kuendelea kuitumikia…
DARUESH Saliboko nyota wa Lipuli FC ya Iringa inaelezwa kuwa amemalizana na timu ya Polisi Tanzania kwa kusaini dili la mwaka mmoja licha ya mwenyewe…