admin
HUYU NDIYE STAA WA SIMBA ALIYEWAVURUGAVURUGA YANGA, WALICHOMFANYA UWANJANI NAYE ALIWALIPA...
KIUNGO wa Simba, Luis Miqussone, raia wa Msumbuji, ameonekana kuwa moto wa kuotea mbali, labda kuliko staa mwingine kwenye timu hiyo kwa sasa.Huyu ndiye...
MARTINEZ AKARIBISHWA NDANI YA BARCELONA
STAA wa Barcelona, Luis Suarez amefunguka kuwa anamkaribisha kwa mikono miwili kinda wa Inter Milan, Lautaro Martinez kwani ni mchezaji bora na mwenye uwezo.Kinda...
KOCHA HUYU AKUBALI KURITHI MIKOBA YA SVEN WA SIMBA
KOCHA mkuu wa AS Vita ya Congo,Florent Ibenge amesema kuwa anaweza kuwa kocha wa Simba endapo tu timu hiyo itakuwa inamuhitaji na itafanikiwa kupata...
YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA MWADUI FC
YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael, kesho ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Mwadui FC ya Shinyanga.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa...
MORRISON KAMA KAWAIDA YAKE YANGA,LUIS ANA BALAA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI...
KESHO ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa nakala yako
SportPesa YAMKABIDHI MSHINDI WA JACKPOT SportPesa MAMILIONI
KAMPUNI ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania leo imemkabidhi mshindi wa Jackpot SportPesa, Jamal Khalfan Abdallah Shilingi 288, 974, 720 baada ya kuibuka...
KICHAPO CHA MABAO 3-2 KUTOKA KWA MBAO, SIMBA YAITAJA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kichapo walichopokea cha mabao 3-2 kutoka kwa Mbao FC kimetokana na wachezaji wake kuwafunga watani zao wa jadi Yanga.Julai...
AZAM FC KWENYE KIGONGO KINGINE TENA NI MBELE YA LIPULI
TIMU ya Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba imecheza jumla ya mechi 17 ugenini ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu...
PICHA LA BERNARD MORRISON NDANI YA ANGA LINAISHA KWA MTINDO HUU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kiungo wao Mghana, Bernard Morrison asitegemee wao kutangaza kuvunja mkataba wake huku wakisisitiza kuwa mchezaji huyo bado ni mali...
MATOLA MAMBO SAFI AZAM FC JINA LAKE LAPENYA JUMLAJUMLA
JINA la Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, limepitishwa na viongozi wa Bodi ya Azam FC anayetarajiwa kuwa msaidizi wa Mromania, Aristica Cioba, huku...