EYMAEL: SINA LAMINE MORO, KASEKE, MORRISON SIJUI ITAKUAJE
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu kwa kuwa anahitaji ushindi na hana wachezaji wake muhimu ndani ya…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu kwa kuwa anahitaji ushindi na hana wachezaji wake muhimu ndani ya…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara upo hivi kwa sasa upo namna hii
KINARA kwa Ligi Kuu Bara kujikusanyia clean sheet za kutosha ndani ya Ligi Kuu Bara anaitwa Aishi Manula anazo 17.Anafuatiwa na mzawa mwingine huyo pichani…
HARVEY Barnes, kiungo wa Leicester City ripoti zinaeleza kuwa yupo kwenye rada za mabingwa wa Ligi Kuu England, Liverpool.Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp inatajwa…
FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa hayati Benjamin William Mkapa aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mtu wa michezo na alikuwa…
ASTON Villa inayoshiriki Ligi Kuu England ni miongoni mwa timu tatu ambazo leo zinapambana kujinasua kushuka daraja. Timu nyingine ambazo zinaungana na Villa anakokipiga nyota…
INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Issa ‘Mo Banka’ tayari ameshamalizana na mabosi wa Azam FC kwa kusaini mkataba wa miaka miwili na kinachosubiriwa…
Mohamed Salah mshambuliaji wa Liverpool kwa msimu wa 2019/20 amekuwa ni mzuri kwenye kupiga mashuti kuelekea lango la wapinzani kwa kuwa kazi yake ni kutafuta…
KLABU ya Simba imedhamiria kusajili kikosi cha kimataifa baada ya kuwa katika mchakato wa kusajili beki kutoka Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo. Simba…
WADHAMINI wa Klabu ya Yanga, Kampuni ya GSM imemuwekea kitita cha Sh milioni 60 kiungo wake mkabaji Mkongomani, Papy Tshishimbi ili aongeze mkataba wa miaka…