admin
EYMAEL – KWA MORRISON TUMEHUJUMIWA
Gazeti la MWANASPOTI jana lilikueleza mapema kuwa Bernard Morrison na Jonas Mkude wameshikwa pabaya na kweli yamewakuta. Lakini saa chache tu tangu Kamati ya...
SERIKALI YAZUIA MASHABIKI WA SIMBA KUSHEREKEA UBINGWA
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa soka katika mikoa nje ya Dar es Salaam, kuingia viwanjani kutazama mechi za Ligi Kuu zitakazohusisha timu za Simba...
MORRISON ATAJA SABABU YA KUGOMA KUPANDA NDEGE,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
Kesho ndani ya Championi Ijumaa
YANGA WAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KAZI, FUNDI WA KUPIGA MIPIRA...
BAADA ya Klabu ya Yanga kumalizana na beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Eric Rutanga, uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kudai...
TANZANIA PRISONS WANA BALAA, HESABU ZAO MBELE YA SIMBA NI KUSEPA...
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Adolf Rishard amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...
EYMAEL HAJAFURAHISHWA NA SARE MBELE YA NAMUNGO, ATAJA WANAOMKWAMISHA JUMLA
LUC Eyamel, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa tatizo kubwa walilonalo wachezaji wake wote kwa sasa ndani ya kikosi ni kushindwa kumalizia nafazsi ambazo...
ISHU YA MKATABA WA WAWA NDANI YA SIMBA NI PASUA KICHWA
BEKI Muivory Coast, Pascal Wawa wa Simba, maisha yake kwenye klabu hiyo yapo mbioni kumalizika ambapo suala la mkataba wake mpya limezua jambo ndani...
SINGIDA UNITED WATAJA SABABU ZITAKAZOWAFANYA WASHUKE DARAJA
RAMADHAN Nswanzurimo, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa anaamini kuwa timu yake ikishuka Daraja msimu huu hakuna ambaye atawashangaa kwa kuwa wanapita kwenye...
LALA SALAMA INAHITAJI MAAMUZI MAKINI KWA SASA, MAMBO BADO HAYAJAWA SHWARI
MAAMUZI makini ndani ya uwanja kwa waamuzi wetu wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na Ligi Daraja la Kwanza kwa wakati huu yanatakiwa ili...
MCHEZO MZIMA WA YANGA KUGAWANA POINTI MOJA NA NAMUNGO FC ULIKUWA...
YANGA jana ilisubiri mpaka dakika za jioni kabisa kuweka usawa wa kufungana mabao 2-2 na Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...