KOCHA SIMBA AUKUBALI MUZIKI WA KICHUYA
KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane, amekiri kuimarika kwa kiwango cha winga wa kikosi hicho, Shiza Ramadhani Kichuya, baada ya kukaa benchi kwa muda…
KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane, amekiri kuimarika kwa kiwango cha winga wa kikosi hicho, Shiza Ramadhani Kichuya, baada ya kukaa benchi kwa muda…
Coastal Union 0-0 Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mbeya City 0-1 Alliance, (Juma Nyangi 19’) Uwanja wa Sokoine. Ndanda SC 1-0 Biashara United (Abdul Hamisi 90’+3…
Dakika 2 zinaongezwaDakika 45 zinakamilika Uwanja wa TaifaDakika ya 44 Mfaume anafanya jaribio linaishia mikononi mwa ManulaDakika ya 43 Mwadui wanalifuata lango la Simba Dakika ya…
NANGWANDA Sijaona, leo kutakuwa na biashara moja tu kwa wanaume 22 ndani ya uwanja huo kusaka pointi tatu muhimu.Ndanda FC iliyo chini ya Kocha Mkuu,…
COASTAL Union wamesema kuwa watapambana mbele ya wapinzani wao Mtibwa Sugar leo kwenye mchezo wao utakaopigwa majira ya saa 10;00 jioni.Kocha Mkuu wa Coastal Union,…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kikosi chao kipo tayari kuanza kuonyesha uwezo wao mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo utakaopigwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma,…
UONGOZI wa Namungo umesema kuwa unawaheshimu wapinzani wao Kagera Sugar ila hakuna namna lazima waache pointi tatu Uwanja wa Majaliwa kwenye mchezo wa leo utakaochezwa…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Taifa
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna kitakachowazuia kushinda mbele ya Mwadui FC baada ya kujipanga vema kwenye mchezo wa leo utakaochezwa Uwanja wa Taifa majira…
GERALD Mdamu, mshambuliaji namba moja wa Mwadui FC amesema kuwa mchezo wa leo mbele ya Simba watapambana kupata matokeo chanya ili kujihakikishia nafasi ya kubaki…