HIVI HAPA VIGONGO 10 VYA RUVU SHOOTING
IKIWA imecheza mechi 28 Ruvu Shooting inayobebwa na serea ya ‘Kupapasa Square’ ipo nafasi ya 11 na kibindoni ina pointi 39.Imebakiza mechi zake 10 kukamilisha…
IKIWA imecheza mechi 28 Ruvu Shooting inayobebwa na serea ya ‘Kupapasa Square’ ipo nafasi ya 11 na kibindoni ina pointi 39.Imebakiza mechi zake 10 kukamilisha…
IMEELEZWA kuwa fainali ya mchezo wa Kombe la FA inayotarajiwa kuchezwa Agosti Mosi, Uwanja wa Wembley itahudhuriwa na idadi ya mashabiki 20,000. Kwa sasa viongozi…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool yupo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga mwili jumba na mwenye kasi anayekipiga ndani ya Wolves, Adama Traore.Taarifa…
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC anatarajiwa kurejea muda wowote kuanzia sasa baada ya kibali cha kuja Bongo kupatikana na ataanza kwa usafiri wa…
UONGOZI wa Kagera Sugar unesema kuwa utapambana kwa nguvu zote ili kusepa na Kombe la Shirikisho msimu huu ili waiwakikishe nchi kwenye michuano ya kimataifa.Kagera…
KESSY Mziray, Kocha Mkuu wa Klabu ya Alliance School amesema kuwa wameanza kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya robo fainali wa…
ADAM Oseja, mlinda mlango namba mbili wa kikosi cha Namungo FC kilicho chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery amesema kuwa anafurahia kurejea kwa mechi za…
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amerejea Bongo akitokea Kenya usiku wa kuamkia leo ataungana na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya leo yatakayofanyika kwenye uwanja…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili lipo mtaani usipange kukosa jipatie nakala yako jero kama jero.
TANZANIA Prisons, iliyo chini ya Kocha Mkuu Adolf Rishard ndani ya Ligi Kuu Bara ni mabingwa wa kulazimisha sare kwenye mechi zao.Wamecheza jumla ya mechi…