Uncategorized

HUYU HAPA NI MBABE WA SARE, YANGA NA SIMBA WANAJUA SHUGHULI YAKE

admin May 30, 2020 9:47 pm


TANZANIA Prisons, iliyo chini ya Kocha Mkuu Adolf Rishard ndani ya Ligi Kuu Bara ni mabingwa wa kulazimisha sare kwenye mechi zao.

Wamecheza jumla ya mechi 30 wakiwa wanaongoza kwa kucheza mechi nyingi zaidi na pointi zao 41 kibindoni jumla ya mechi 14 walililazimisha sare.

Shughuli yao Simba ile iliyokuwa chini ya Kocha Mkuu, Patrick Aussem ilihaha Uwanja wa Uhuru na kukubali kugawana pointi moja moja.

Imeshinda mechi tisa ndani ya ligi ambazo ni sawa na dakika 810 huku ikichapwa mechi 7 sawa na dakika 630.

Yanga inashikilia rekodi ya kuwatungua mwanzoni kabisa Uwanja wa Samora kwa bao 1-0 lilifungwa na Patrick Sibomana kwa pasi ya Upendo ya Abdulaziz Makame.


Mchezo wa mzunguko wa pili uliochezwa Uwanja wa Taifa Yanga liambulia kugawana pointi moja na Prisons baada ya dakika tisini kukamilika kwa sare tasa.

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA YANGA WANA JAMBO LAO ZITO,JUMAPILI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO BEKI WA NKANA FC, HASSAN KESSY ATAJA ATAKAPOKUWA IWAPO DILI LAKE LITABUMA NKANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply