Latest Posts

YANGA MGUU SAWA KUELEKEA LIGI KUU BARA

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mastaa wote wa timu hiyo waliopo Tanzania wataingia kambini mapema kabla ya kuanza mazoezi ya pamoja kuanza kuelekea kwenye mechi…

SAFARI YA MABADILIKO YANGA YAPAMBA MOTO

UONGOZI wa Yanga umewaomba mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kuungana katika kuitimiza ndoto ya timu hiyo kuelekea kwenye mabadiliko.Mshindo Msolla, Mwenyekiti wa Klabu ya…

BREAKING:KAGERE ATUA DAR

MSHAMBULIAJI wa Simba Meddie Kagere amerejea leo Dar es Salaam na kupokelwa na Mratibu wa Simba Abass Ally akitokea Rwanda.

MAMBO BADO HAYAJAWA SHWARI NDANI YA ENGLAND

TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu England kesho zinatarajiwa kupiga kura kuhusu maamuzi ya kurejea rasmi kwenye mazoezi ya pamoja ili kujiaandaa kumaliza msimu wa 2019/20. Kwa…

IDRISA SULTAN BADO ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI

JESHI la Polisi limesema linaendelea kumshikilia Idris Sultan aliyekamatwa Jumanne iliyopita akihusishwa na tuhuma za makosa ya kimtandao likiwemo la kujaribu kuharibu ushahidi.Mchekeshaji huyo alikamatwa…