Latest Posts

RONALDO ATAJWA KUWA BORA NA RIO FERDINAND

BEKI wa zamani wa Klabu ya Manchester United,  Rio Ferdinand amesema kuwa mchezaji ambaye bora ambaye alicheza naye alikuwa ni Cristiano Ronaldo. Rio alicheza na Ronaldo…

MBELGIJI WA YANGA AKUBALI UWEZO WA JEMBE JIPYA LINALOWINDWA NA YANGA

AKIWA nyumbani kwao Ubelgiji, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ametaja sifa mbili alizonazo kiungo Ally Niyonzima zilizomshawishi yeye kumpa mkataba wa kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Niyonzima hivi karibuni alikiri kuwepo kwenye mazungumzo mazuri na Yanga chini…

YULE MJUBA ANAYELIA BILA MPANGILIO HUYU HAPA

KATI ya vitu vinavyopewa kipaumbele na Watanzania wengi hususan waliomo mijini, mitandao ya kijamii ni miongoni mwao. Yaani kuna baadhi ya watu wapo radhi wasile ilimradi…