Uncategorized

MESSI: TUNATAKIWA KUBADILI AINA YA UCHEZAJI ILI TUSHINDE

admin May 26, 2020 7:47 am


LIONEL Messi, staa wa Barcelona, amesema kuwa wana kikosi bora ila wanatakiwa kubadili aina ya uchezaji wao bila kufanya hivyo hawawezi kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Barcelona kwa sasa kwa upande wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wapo hatua ya 16 na mchezo wa mwisho walicheza na Napoli na kutoa sare ya 1-1 kwenye La Liga ni vinara na pointi zao 58.

Barca inaonekana kuyumba hata kufikia hatua ya kumfukuza aliyekuwa Kocha Mkuu Ernesto Valverde na nafasi yake ikichukuliwa na Quique Setien.


 “Sina wasiwasi na kikosi chetu tunaweza kushinda kila kilicho mbele yetu lakini si aina ya uchezaji wetu wa sasa tuatakiwa kubadilika,”.

BAO LA SAMATTA LAWA BAO BORA LA MWAKA NDANI YA KRC GENK MWENYEKITI WA ZAMANI WA SIMBA RAGE HAJAFANYA MAAMUZI KUHUSU KUGOMBEA TENA UBUNGE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply