FIFA YAIBONYEZEA CHEKUNDU TUZO YA MCHEZAJI BORA 2020 MAZIMA
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona. Tuzo hizo…
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona. Tuzo hizo…
LICHA ya kuwa ni mabeki Passcal Wawa na Shomari Kapombe ni mitambo ya mabao hawa wawili ndani ya Simba wamehusika kwenye mabao sita ndani ya…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba katika kikosi chake cha msimu ujao atakachofanya ni kutosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho kidogo.…
KUREJEA kutoka kwenye majeraha kwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’ kumezuia usajili wa kiungo wa Polisi Tanzania, Sixtus Sabilo na Lucas Kikoti anayekipiga…
INAELEZWA kuwa Yanga imeongeza juhudi kuinasa saini ya kiungo fundi wa Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Ally Niyonzima kwa ajili ya kumwaga wino ili…
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, ameibuka na kusema kuwa anatamani kuona janga la ugonjwa wa Covid-19 unaotokana na Virusi vya Corona, lipotee ili waweze kurejea…
MIONGONI mwa walioleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo Fleva jina la marehemu Ruge Mutahaba halikosekani kutokana na kuwa mpambanaji na muongoza njia huku akiwabadilisha kimuziki…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa Simba na Yanga zinapaswa zijipange kunasa saini za nyota wao kutokana na mikataba yao kuwa mirefu kwa wachezaji wao.…
NYOTA watatu kutoka ardhi ya Bongo ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada ya…
ABDI Banda, nyota wa Tanzania anayepiga soka la kulipwa nchini Afrika Kusini amesema kuwa mambo magumu hata huko aliko Afrika Kusini kutokana na Ligi yao…