MSHAMBULIAJI WA LIPULI ANAPIGA TIZI MARA MBILI KWA SIKU
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa kwa siku anapiga mazoezi mara mbili ili kulinda kipaji chake baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na…
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa kwa siku anapiga mazoezi mara mbili ili kulinda kipaji chake baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana na…
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga kwa msimu wa 2019/20 anashikilia rekodi ya kuwa mshambuliaji wa kwanza kufunga hat trick.Aliwatungua Yanga ambao ni mabosi wake wakati…
THOMAS Partey, kiungo wa Atletico Madrid amesema kuwa anataka kujiunga na Klabu ya Arsenal msimu ujao.Partey amewekwa kwenye hesabu za Arsenal iliyo chini ya Kocha…
IWAPO Yanga itakuwa siriazi kuisaka saini ya nyota wa zamani wa Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda, Michael Sarpong ambaye atakuja kuwa mbdala wa David…
GERALD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC aliyetaka kumtegua nyonga mlinda mlango wa Simba Aishi Manula, Oktoba 30, wakati Simba ikikubali kichapo cha bao 1-0 amesema…
MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspur, Heung-Min Son, amefanikiwa kumaliza mafunzo ya kijeshi huko kwao Korea Kusini. Katika mafunzo hayo ya wiki tatu, mshambuliaji huyo tegemo wa…
ERASTO Nyoni, beki kiraka ndani ya Simba amewaomba watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona. Akizungumza na Saleh Jembe, Nyoni amesema kuwa janga…
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Sergio Aguero anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho pale mkataba wake utakapomeguka.Mkataba wake unafika tamati mwaka 2021 na inaelezwa kuwa ana…
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa amekuwa akisemwa tangu akiwa nyumbani kuwa ni mvivu ila hakasiriki kwani anajua anachokifanya.Ajibu amesema ameanza kusemwa kuwa…
SALUM Aiyee akiwa ndani ya Mwadui FC msimu wa 2018/19 alitupia mabao 18 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni mzawa namba moja kucheka na…