GARETH BALE AUKUMBUKA MPIRA
STAA wa Real Madrid, Gareth Bale amefunguka kuwa anatamani sana kurejea uwanjani, lakini suala la usalama wa afya ni muhimu kwanza. Hii ni kutokana na…
STAA wa Real Madrid, Gareth Bale amefunguka kuwa anatamani sana kurejea uwanjani, lakini suala la usalama wa afya ni muhimu kwanza. Hii ni kutokana na…
RELLIATS Lusajo nahodha anayekipiga ndani ya Klabu ya Namungo ameziingiza vitani timu kubwa tatu ambazo ambazo ni Simba, Yanga na Azam zinazopambana kuipata saini yake kwa…
KWA sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Inatarajiwa hali kuwa shwari hivi karibuni kutokana na dua za…
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa amekumbuka kurudi uwanjani kucheza ila anashindwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia.Akizungumza na Saleh…
FLOYD Mayweather, amesema kuwa licha ya kutangaza kustaafu kupanda ulingoni kuzichapa ila anaweza kurejea tena ikimbidi kufanya hivyo.Bondia huyo ambaye alivuna mkwanja mrefu baada ya…
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa ndoto zake ni kuwa mchezaji wa kimataifa baada ya miaka mitano hapo mbele.Kaheza mwenye mabao saba na…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa mabeki wengi wamekuwa wakimkamia uwanjani jambo ambalo linamfanya awe makini muda mwingi akiwa ndani ya uwanja.Kagere mwenye mabao…
HAMISI Mwinjuma maarufu kama Mwana FA mwimbaji wa Bongo Fleva, amesema kuwa kwa sasa tayari amepona maambukizi ya Virusi vya Corona alivyokuwa anauguza.FA alikuwa miongoni…
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wamekuwa wakiwafuatilia wachezaji wao kwa wakati huu ikiwa wanafanya mazoezi kupitia mitandao.Akizungumza na Saleh Jembe, Maxime…
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC ameshikilia mkataba wa nyota wa timu hiyo Donald Ngoma.Cioaba raia wa Romania kwa sasa yupo zake likizo baada…