MASHAKA YA KOCHA MKUU LIGI KUU BARA NI KUSHUKA KWA VIWANGO VYA WACHEZAJI
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa wasiwasi wake mkubwa kwa sasa ni kushuka kwa uwezo wa wachezaji pindi ligi itakaporejea.Katwila…
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa wasiwasi wake mkubwa kwa sasa ni kushuka kwa uwezo wa wachezaji pindi ligi itakaporejea.Katwila…
Verified OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa miongni mwa viungo makini wanafaya kazi kwa ubora ndani ya Uwanja ni pamoja na Feisal Salum…
Gazeti la BETIKA lipo mtaani Jumatano hii, hili ni gazeti la bure yaani haliuzwi, fika popote kwa muuzaji wa magazeti utajipatia nakala yako bila malipo.Ndani…
PIERRE Emerick Aubameyang amesema kuwa bado yupo ndani ya Arseanl kwa sasa wakati wa kusepa ukifika ataweka wazi. Nyota huyo raia wa Gabon anayekipiga timu…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KLABU ya Barcelona imejipanga kufanya maamuzi magumu endapo tu itashindwa kufanikiwa kumpata staa wa Inter Milan, Lautaro Martinez basi itageukia kwa Real Sociedad kwa kumnasa…
WAKALA wa straika wa Simba, Meddie Kagere, Patrick Gakumba, amefunguka kwamba dili la straika wake kutakiwa na klabu ya Hispania limekuwepo na kitu pekee ambacho…
LICHA ya miaka 27 kupita, kovu la kipigo cha mabao 2-0 cha Simba dhidi ya Stella Abdijan ya Ivory Coast kwenye fainali ya CAF halijafutika…
WAKALA wa kimataifa wa soka nchini, Ally Saleh amefichua kuwa nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ana nafasi kubwa ya kubaki katika Ligi Kuu ya…
KOCHA wa Yanga, Luc Aymael, amewaambia viongozi kwamba katika vitu ambavyo anataka msimu ujao ni kuona timu hiyo ikicheza mpira wa kasi na pasi nyingi.…