Uncategorized

AUBAMEYANG AFURAHIA MAISHA YAKE NDANI YA ARSENAL

admin April 22, 2020 6:05 am

PIERRE Emerick Aubameyang amesema kuwa bado yupo ndani ya Arseanl kwa sasa wakati wa kusepa ukifika ataweka wazi.

Nyota huyo raia wa Gabon anayekipiga timu yake ya Taifa akiwa ni nahodha kwenye timu zote anazocheza ikiwa ni pamoja na Arsenal ana umri wa miaka 30.

Auba amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya klabu hiyo huku ikielezwa kuwa Barcelona ipo mlangoni kuiwinda saini yake.

“Bado nipo ndani ya Arsenal wakati ukifika wa kuondoka nitaweka wazi ila kwa sasa ninafurahia maisha ndani ya kikosi,” amesema.
JIPATIE NAKALA YAKO YA BETIKA BURE KABISA SIMBA YAKUBALI UWEZO WA KIUNGO WA YANGA ALIYEWAVURUGA MACHI 8 UWANJA WA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply