SIMBA YATAJA SABABU ZA KUILINDA SAINI YA CHAMA, ISHU IPO TFF KWA SASA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya wailinde saini ya nyota wao Clatous Chama ni pamoja na kuthamini mchango wake alioufanya ndani…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya wailinde saini ya nyota wao Clatous Chama ni pamoja na kuthamini mchango wake alioufanya ndani…
SIMON Msuva nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga El Jadid ya nchini Morocco amesema kuwa kwa sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania ila amekwama…
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga hesabu zao ni kuibomoa Simba na kuchokomoka na nyota mmoja ambaye amekuwa kwenye ubora wake licha ya kutokuwa na nafasi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa amekuwa akiwafuatilia kwa ukaribu nyota wake wote huku presha yake ikiwa kwa nyota wanne ambao ni mfano…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele G azeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako kwa Jerome, nafasi ya kushinda ndinga ni yako
UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika Mkongomani,…
NI mwendo wa teknolojia tu sasa hivi, hili ndio linalofanyika kwenye taasisi mbalimbali kwa nchini kutokana na kuwepo ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya…
KOCHA wa Simba, Mbelgiji Sven, hakuficha hisia zake namna anavyomkubali kiungo wa Namungo FC, Lucas Kikoti ‘Mtakatifu Kikoti’, sasa mchezaji mwenyewe amesisitiza, ikitokea Wekundu hao…
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi mambo yatakuwa namna hii, nafasi ya kushinda Gari ni yako
PAUL Nonga mtupiaji wa Lipuli ameziweka vitani timu tatu kubwa ambazo zinahitaji saini yake kwa sasa ikiwa ni pamoja na Azam FC, Yanga na Simba.…