SIMBA: PENGO LA OKWI BADO LIPO
AISHI Manula, mlind mlango namba moja wa Simba amesema kuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika klabu…
AISHI Manula, mlind mlango namba moja wa Simba amesema kuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika klabu…
LUIS Miquissone nyota wa Simba amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia baadhi ya watu ‘matapeli’ kutumia jina lake katika mitandao ya kijamii kuomba pesa kwa viongozi…
MWANAMUZIKI maarufu wa visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kuwa zamani watu wengi walikuwa wakipenda kucheza na mwili wake lakini sasa hivi yuko imara sana…
THOMAS Teye Partey, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Atletico Madrid inayoshiriki La Liga inaripotiwa kuwa msimu ujao atajiunga na Klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi…
HASHEEM Ibwe, mwandishi wa Habari za Michezo kutoka kituo cha Azam TV amesema kuwa kwa kipindi hiki ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari kujilinda dhidi…
DARUESH Saliboko, nyota anayekipiga ndani ya Lipuli yenye maskani yake mkoani Iringa amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake pamoja…
KUTOKANA na Uongozi wa Yanga kudai kwamba umefanya mazungumzo na Clatous Chama, Simba wamekimbilia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
KLABU ya Alliance School yenye maskani yake mkoani Mwanza msimu huu wa Ligi Kuu Bara imeweka rekodi ya kuwachimbisha makocha wanne kazi mazima.Ikiwa kwa sasa…
ABDULHAMAN Humud, nyota anayekipiga Mtibwa Sugar amesema kuwa anaendelea kupiga mazoezi kwenye fukwe li kulinda kipaji chake.Akizungumza na Saleh Jembe, Humud amesema kuwa kwa wakati…