admin
JOSE MOURINHO ALIA NA VIUNGO WAKE KUMPONZA
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa tatizo kubwa kwenye timu yake kwa sasa ni kukosa viungo sahihi wa kuichezesha timu yake ndani...
SABABU ZA MAULA KUKAA LANGONI LEO HIZI HAPA
Simba ikiwa imecheza mechi 26, Manula amekaa langoni kwenye mechi 19 huku mechi saba akikaa mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya. Simba ikiwa imefungwa...
YANGA: TUNAICHAPA SIMBA MAPEMA,UBINGWA WAACHE WACHUKUE
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa leo unaichapa Simba mapema ili kulinda heshima hauna hesabu na kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara ambalo lipo mkononi...
HAWA WA YANGA NA SIMBA WAKALI WAKITOKEA BENCHI KWA KUTUPIA AMA...
LEO Uwanja wa Taifa, majira ya saa 11:00 jioni kutakuwa na mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya Yanga na Simba ambao ni wa mzunguko...
KOCHA MBELGIJI AWACHARUKIA WACHEZAJI WAKE NAMNA HII
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewacharukia wachezaji wake wote wa Yanga na kuwataka wacheze kwa nidhamu mbele ya Simba leo kutokana na uimara...
SIMBA: YANGA WALICHEKELEA SARE YA KUFUNGANA MABAO 2-2
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kuwa wapinzani wao Yanga walifurahia sare waliyopata kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Januari 4, 2020...
ALLIANCE YAKWAMA KUFUTA UTEJA MBELE YA AZAM FC
AZAM FC jana imeinyoosha Alliance FC ya Fred Minziro kwa ushindi wa bao 1-0.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa ambapo...
VITA YAO LEO MANCHESTER UNITED V MANCHESTER CITY
LEO Uwanja wa Old Trafford kutakuwa na mechi kali ya kibabe kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City majira ya saa 1:30 kwa...
KAZIM IMEISHA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXTRA Jumapili
PACHA HIZI ZINASUBIRIWA KWA HAMU LEO KUJIBU TAIFA
LEO uwanja wa Taifa, mashabiki wa Yanga watakuwa uwanjani huku wakiwa wamebeba matumaini makubwa kwa nyota wao ambao wanazidi kupambana wakiwa ndani ya uwanja.Yanga...