MBAO FC YAGOMA KUSHUKA DARAJA
WAZIR Jr, mshambuliaji wa Mbao FC amesema kuwa anaimani kuwa timu yao haitashuka daraja kutokana na mipango ambayo itapangwa baada ya ligi kurejea.Kwa sasa Ligi…
WAZIR Jr, mshambuliaji wa Mbao FC amesema kuwa anaimani kuwa timu yao haitashuka daraja kutokana na mipango ambayo itapangwa baada ya ligi kurejea.Kwa sasa Ligi…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako
GERSON Fraga, kiungo wa Simba amesema kuwa wamepigwa stop kula kuku ila akipata muda huwa anafanya hivyo kwa kuwa ni vitu anavyovipenda.Fraga, raia wa Brazil…
RELIANTS Lusajo, nahodha wa Namungo amesema kuwa anaamini akitua ndani ya Yanga ataendelea kutupia kama kawaida kutokana na uwezo alionao.Lusajo amekuwa akihusishwa kutua Yanga kuongeza…
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa amepata dili la kujiunga na moja ya timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Malaysia mambo yakiwa sawa atasepa Bongo.Nonga…
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kulia wa Polisi Tanzania amesema kuwa anaamini kuwa anaweza kuondoka Bongo iwapo atapata nafasi ya kucheza nje ya nchi. Polisi…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wakati huu wamewazuia wachezaji wa Simba kula vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari nyingi ili kulinda afya zao.Ligi…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu kubwa inayomfnya afunge akiwa ndani ya uwanja ni umakini wa kutumia nafasi anazozipata pamoja na ushirikiano wa…
WAKATI Simba ikitajwa kumalizana na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, kiungo wa zamani wa Polisi Mara, Musa Keita amesema Wekundu hao wa…