KANE:NIPO FITI NITAREJEA UWANJANI HIVI KARIBUNI
HARRY Kane amesema kuwa anaamini yupo fiti kwa sasa kurejea uwanjani iwapo Ligi Kuu England itarejea.Kane anayekipiga Klabu ya Tottenham alikuwa nje Kwa muda baada…
HARRY Kane amesema kuwa anaamini yupo fiti kwa sasa kurejea uwanjani iwapo Ligi Kuu England itarejea.Kane anayekipiga Klabu ya Tottenham alikuwa nje Kwa muda baada…
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kutokana na kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ameamua kusepa ndani ya Dar es Salaam na kuibukia kijijini…
JAKSON Mayanja, aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC, Kagera Sugar, Coastal Union na Simba amesema kuwa kutokaana na kusambaa kwa Virusi vya Corona amewataka wachezaji wake…
DAKTARI wa Yanga, Sheikh Mngazija, amewapangia wachezaji hao vyakula maalumu na kuwapiga stop wachezaji hao kula vyakula visivyoeleweka. Agizo hilo limetolewa na daktari huyo kutokana…
CORONA kwa sasa imekuwa ni janga la dunia kiujumla kutokana na kusababisha athari kubwa kwa jamii ambayo ndani yake kuna familia pia ya wanamichezo ambayo…
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba atachelewa kurejea nchini kufuatia Shirika la Ndege la RwandAir kufuta safari zake zote kwa muda wa siku 30. Hali hiyo…
BEKI wa kati wa Yanga, Said Makapu, amefunguka kuwa amepanga kuondoka kwenye timu hiyo iwapo atapata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa kutokana na…
PAPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amesema kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wake Yanga ili kumalizana nao kuhusu ishu yake ya mkataba.Tshishimbi kwa sasa mkataba…