WAKALI WA KUTUPIA MABAO 11 WOTE NI WAZAWA, WAWILI WANA KITAMBAA CHA UNAHODHA
KWA wachezaji walio kwenye mwendo wa kutupia mabao 11 ni watatu na wote ni wazawa ambapo wawili kwenye timu zao ni manahodha.Paul Nonga anakipiga ndani…
KWA wachezaji walio kwenye mwendo wa kutupia mabao 11 ni watatu na wote ni wazawa ambapo wawili kwenye timu zao ni manahodha.Paul Nonga anakipiga ndani…
ASTON Villa, klabu anayokipiga Mbwana Samatta nahodha wa Tanzania ndani ya Ligi Kuu England imejikusanyia pointi 25 baada ya kucheza mechi 28.Villa imefunga jumla ya…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umewataka wachezaji wao kuwa mabalozi wazuri kipindi hiki cha mapumziko maaalumu kwa ajili ya kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Ligi Kuu…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa amewapa programu wachezaji wake wakati huu wa mapumziko ili kuona wanalinda vipaji vyao.Namungo ya Ruangwa inashiriki Ligi…
BEKI mkongwe ndani ya Klabu ya Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa anaamini kuwa atajumuika na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya pamoja baada ya mapumziko ya…
NADIR Haroub, ‘Cannavaro’, Meneja wa timu ya Taifa ya Tanzania amewapa darasa wachezaji wanaokipiga Ligi Kuu Bara kuacha kubweteka kipindi hiki ambapo ligi imesimama kutokana…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tatizo kubwa linaloimaliza timu kwa sasa ni ubutu wa safu yao ya ushambuliaji inayoongozwa na Obrey Chirwa mwenye mabao…
DEOGRATIUS Munish, ‘Dida’ mlinda mlango wa Lipuli amesema kuwa bado kikosi chao kina nafasi ya kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara. Kwa sasa Ligi Kuu…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizoifanya timu yake kusepa na pointi tatu mbele ya Simba Machi 8 Uwanja wa Taifa…
MABAO 19 ya mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere yamewapoteza nyota tisa wa kigeni wanaokipiga ndani ya Yanga kwa sasa.Kagere akiwa ni kinara wa utupiaji ndani…