MVUA YATIBUA MAMBO HUKO IRINGA MPAKA SHINYANGA, SALAMU ZIPO NAMNA HII
Mechi ya Ligi Kuu Bara leo Kati ya Lipuli na Ndanda FC imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha mkoani Iringa hali iliyosababishwa sehemu ya kuchezea…
Mechi ya Ligi Kuu Bara leo Kati ya Lipuli na Ndanda FC imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha mkoani Iringa hali iliyosababishwa sehemu ya kuchezea…
UWANJA wa Taifa majira ya saa 1:00 usiku leo kutakuwa na kazi ya vigogo wa Lgi Kuu Bara kumenyana kuzisaka pointi tatu muhimu. Azam FC…
FRANK Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa vijana wake wanaimarika kila siku jambo linalompa matumaini ya kuendelea kuwa bora kwenye mechi zao zijazo.Chelsea iliibamiza…
Leo Machi 4 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara mambo yanazidi kupamba moto ambapo timu 18 zitakuwa kazini kwenye viwanja tisa kuzisaka pointi tatu namna…
YANGA jana ilimalizana na Mbao mapema kabisa Uwanja wa Taifa kwa ushindi wa mabao 2-0 yaliyowapa pointi tatu muhimu. David Molinga mshambuliaji wa Yanga alianza…
ADOLF Riashard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa wachezaji wapo tayari kunaliza biashara leo mbele ya Biashara United. Prisons iliyo nafasi ya 11 ikiwa…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kumalizana na Azam FC leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku.Azam FC…
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa leo watakuwa na kazi kubwa ya kuzisaka pointi tatu mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa anawaamini wachezaji wake watapambana mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa leo utakaochezwa Uwanja wa Gairo,…
MUONEKANO wa Mbele Gazeti la BETIKA, lipo mtaani leo nakala yake ni bure