MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo chanya kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na mchezo wa watani…
GEOFREY Luseke, beki wa timu ya Alliance amesema kuwa hawakustahili kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao Yanga.Jana, Februari 29, Alliance ya Mwanza…
RUVU Shooting jana, Februari 29, 2020 iliipapasa mabao 2-0 Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mabatini, Pwani.Kwenye mchezo huo Ruvu…
LEO Mbwana Samatta, mshambuliaji anayekipiga timu ya Aston Villa atakuwa na kazi ya kukipiga mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Kombe la Carabao.Mchezo huo…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara huu hapa
ANDREW Simchimba, mshambuliaji wa Azam FC jana ameiokoa timu yake usiku kuweza kusepa na pointi tatu mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
RAMADHAN Nswanzurimo, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa jana Februari 29 walipaswa waifunge Polisi Tanzania mabao 5-0 ila bahati haikuwa yao kutokana na wachezaji…
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa Kocha Mkuu Luc Eymael alimwambia kuwa akatumie makosa ya wapinzani ili akaifungie timu yake mabao.Jana, Februari 29, Yanga…
ISMAILA Sarr alianza kupeleka maumivu kwa wababe Liverpool dakika ya 54 kabla ya kuongeza msumari mwingine dakika ya 60 na kuifanya Watford kuwa timu ya…