KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.Stars inashiriki michuano ya CHAN…
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.Stars inashiriki michuano ya CHAN…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaji wake wanacheza kwa kasi kipindi cha kwanza na kushindwa kumudu kipindi cha pili kutokana na…
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa bado wana nafasi ya kurekebisha makosa yao waliyoyafanya ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kupata sare tatu mfululizo.Yanga…
Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuwa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kazi yao kubwa ni kufunga mabao…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Ruvu Shooting kinamhusu yeye kwa kuwa ni kiongozi kwenye benchi…
BAADA ya Simba kuibuka na pointi sita jumla mbele ya Kagera Sugar hesabu zao kwa sasa ni mbele ya Biashara United ya Mara.Simba ilishinda nje…
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa wamejipanga kuacha alama nzuri kwa Polisi Tanzania itakayowafanya waikumbuke timu yao msimu mzima kwa kuchukua pointi…
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael anakibarua kizito cha kumenyana na Coastal Union, Februari 23 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani.Eymael amekiongoza…
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania aliyetoka kuwabana Yanga kwa kugawana pointi mojamoja Uwanja wa Ushirika amesema kuwa uwezo wa vijana wake uwanjani unatokana…
SUDY Dondola, mlinda mlango namba moja wa Coastal Union amesema kuwa kupoteza pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani chanzo alikuwa yeye jambo…