Latest Posts

WACHEZAJI WAMPA NGUVU KOCHA NAMUNGO

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa anakoshwa na uwezo wa wachezaji wake ndani ya uwanja jambo linalompa hali ya kujiamini.Thiery amekiongoza kikosi chake…

POLISI TANZANIA WAIPIGA MKWARA HUU YANGA

UONGOZI wa polisi Tanzania umesema kuwa timu yao ipo vizuri zaidi ya Yanga, itapambana kupata matokeo mbele ya Yanga kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Ushirika,…

AZAM FC:LIGI NGUMU KWELI

OBREY Chirwa, mshambuliaji namba moja ndani ya Azam FC amesema kuwa Ligi Kuu Bara ya msimu huu 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya nao wapambane kupata…