Uncategorized

WACHEZAJI WAMPA NGUVU KOCHA NAMUNGO

admin February 17, 2020 2:22 pm


HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa anakoshwa na uwezo wa wachezaji wake ndani ya uwanja jambo linalompa hali ya kujiamini.

Thiery amekiongoza kikosi chake kuwa ndani ya 10 bora baada ya kucheza mechi 21 na kinashika nafasi ya sita kibindoni kina pointi 37.

“Wachezaji wanacheza kwa kujituma ndani ya uwanja kitu pekee ambacho kinatufanya tupate matokeo ambayo tunahitaji ndani ya ligi.

“Ushindani ni mkubwa na kila timu inahitaji ushindi kama ilivyo kwetu, mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.

KAGERA SUGAR: TUNAWAHESHIMU SIMBA ILA POINTI ZAO TUNAZITAKA PIA POLISI TANZANIA WAIPIGA MKWARA HUU YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply