MATOKEO YA MECHI ZA NYUMA ZA AZAM FC NA YANGA ZIPO HIVI, TUJIKUMBUSHE
IKIWA leo Azam FC itamenyana na Yanga matokeo yao yapo namna hii kwenye mechi zao zilizopita:-2010/11, Yanga 2-1 Azam, Azam 0-0 Yanga, 2011/12, Azam 1-0…
IKIWA leo Azam FC itamenyana na Yanga matokeo yao yapo namna hii kwenye mechi zao zilizopita:-2010/11, Yanga 2-1 Azam, Azam 0-0 Yanga, 2011/12, Azam 1-0…
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kinachoibeba timu yake kupata matokeo chanya ni kujituma kwa wachezaji wake na kufuata kile ambacho wanaelekezwa.…
BEKI kisiki ndani ya kikosi cha Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa ‘ugonjwa’ wake mkubwa kwenye chakula ni wali samaki.Akizungumza na Saleh…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji ana kibarua kizito cha kuzimega dakika 450 ambazo ni za moto kwake kutokana na kuanza kwake…
NICHOLAUS Wadada, beki kisiki wa Azam FC leo amepewa kazi moja ya kuigoza safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Obrey Chirwa kuimaliza Yanga ya Mbelgiji, Luc…
Listi kamili ya Wachezaji wa Yanga waliosajiliwa, kutolewa kwa mkopo na kuachwa katika dirisha dogo la Usajili mwezi Januari 2020.
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi mbele ya Mbao FC umewapa nguvu wachezaji wake kupambana kwenye mechi zao za ligi.Simba kesho itamenyana…
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo ataingia uwanjani kwa tahadhari mbele ya Yanga na hesabu zake ikiwa ni kuzipata pointi tatu…
ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United, Ashley Young amekamilisha dili lake la kujiunga na klabu ya Inter Milan. Beki huyo mwenye miaka 34 hakuwa tayari kubaki…
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, Januari 18,2020