KOCHA YANGA AANZA NA SIMBA, HILI NDIYO TAMKO LAKE
Siku chache baada ya Mbelgiji, Luc Eymael kutua nchini kuja kuinoa Yanga, ametamba kwamba anataka sana kukutana na wapinzani wao wa jadi Simba kutokana na…
Siku chache baada ya Mbelgiji, Luc Eymael kutua nchini kuja kuinoa Yanga, ametamba kwamba anataka sana kukutana na wapinzani wao wa jadi Simba kutokana na…
Kiungo mtoa burudani awapo uwanjani, Haruna Niyonzima, amesema yupo katika kikosi cha Yanga ili kuipa ubingwa timu hiyo na si kitu kingine. Kauli ya Niyonzima…
Baada ya Mwekezaji Mkuu wa klabu ya Simba, Mo Dewji kutangaza kujiondoa katika Bodi ya klabu hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul…
WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya, amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara. Kichuya…
IMEELEZWA kuwa sare ya mabao 2-2 waliyoipata Yanga inawaumiza kutokana na kupoteza mkwanja mrefu ambao ulikuwa mezani.Januari 4,2020 Yanga ilikaribishwa na Simba kwenye mchezo wa…
JOHN Bocco, nahodha wa timu ya Simba amesema kuwa haikuwa bahati yao kushinda kombe la Mapinduzi mbele ya Mtibwa Sugar.Simba ilitinga hatua ya fainali kwa…
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa watapambana kesho mbele ya Yanga uwanja wa Uhuru kupata matokeo mazuri.Kagera Sugar itakutana na Yanga ikiwa…
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa timu ya KMC umefikia makubaliano ya kusitisha mikataba na wachezaji watano ndani ya kikosi hicho. Wachezaji hao ni Aaron Lulambo, George…
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa watapambana kesho mbele ya Yanga kupata matokeo mazuri.Kagera Sugar itakutana na Yanga ikiwa na kumbukumbu ya…
MANYIKA Peter Manyika ambaye ni mlinda mlango amekamilisha dili lake la kujiunga na Polisi Tanzania kwenye usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa kesho, Januari 15,…