HI NI NEEMA, MMOJA YANGA AMWAGIWA MIFEDHA
MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa Uganda, Juma Balinya Jumamosi iliyopita alioga noti kutoka kwa viongozi na mashabiki wa timu hiyo waishio Botswana na nchi jirani.Hiyo…
MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa Uganda, Juma Balinya Jumamosi iliyopita alioga noti kutoka kwa viongozi na mashabiki wa timu hiyo waishio Botswana na nchi jirani.Hiyo…
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga, Ally Mayay Tembele, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, kuhakikisha inafanyia kazi mapungufu…
Wimbo Tetema wa Msanii Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz umepigwa marufuku kupigwa katika maeneo ya wazi nchini Kenya.Mbali na Tetema, wimbo mwingine uliopigwa…
Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC, mechi ikichezwa kunako Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo…
WASHINDI wawili wa Shilingi 825, 913, 640 za Jackpot Bonus ya SportPesa jana waliwasili jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa mamilioni yao huku wakifungukia ushindi…
Ikiwa ni baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa hasira zote wanazihamishia kwenye Ligi Kuu…
Yule kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude leo alikosekana kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Posta jijini Dar es Salaam. Timu…
Mtangazaji wa kituo Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema wanavutiwa…
Uongozi wa Azam FC umesema kuwa timu yao ipo tayari kwa ajili ya msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim…
Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake leo kunako Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam yakiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo na…