Uncategorized

EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA ATAJA TIMU ANAYOSHABIKIA – VIDEO

admin August 27, 2019 12:42 pm

Mtangazaji wa kituo  Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema wanavutiwa na uwezo wake wengine wakisema ni shabiki wa Simba ama  Yanga, amefanya mahojiano na Global TV Online akafunguka mambo mbalimbali juu ya maisha yake kwenye utangazaji na kudokeza kwamba ni shabiki wa timu ya Tukuyu Stars ya Mbeya.

AZAM KUANZA NA MAKALI LIGI KUU BAADA YA KUAGA CAF, KOCHA SIMBA ANAAMINI HIKI NDIO KITU SAHIHI CHA KUFANYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply