KWA ULAINIIII MASHINE ALAMBA MILIONI SITA ZA SPORTPESA
Mkazi wa Tabora, Nelson Misungwi Mashine akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki…
Mkazi wa Tabora, Nelson Misungwi Mashine akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki…
Uongozi wa Yanga umeishtaki Kampuni ya Selcom Tanzania, serikalini kutokana na utendaji wao wa kazi mbaya ambao ulikuwa wa wizi na rushwa uliotokea kwenye kilele…
HARRY Maguire, anaingia kwenye rekodi ya mabeki ghali duniani baada ya usajili wake kukamilika na Manchester United kuthibitisha kuwa wametumia pauni milioni 80 likiwa ni…
Kikosi cha Simba kesho asubuhi kitasafiri kwenda Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kambi ya pamoja kujiandaa na mchezo wao awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.…
Kampuni ya GSM leo wameshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya hule wa awali kumalizika saa chache mara baada ya kuzinduliwa. Akizungumza…
MOHAMED Dewji, ‘Mo’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba amesema kuwa uwekezaji wake wa bilioni 20 haupo kwenye mpango wa Uwanja wa Bunju.Simba leo imeweka…
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kesho lazima aje na mtindo mpya wa utambulisho baada ya ile ya awali kudai wameiba watani zake…
MSANII nguli duniani wa miondoko ya R N B, R. Kelly anayekabiliwa na mshitaka 13 ya unyanyasaji wa kingono huenda akafungwa miaka 195 endapo atapatikana…
KIKOSI cha timu ya Manispaa ya Kinondoni ‘KMC’ kilicho chini ya Kocha Mkuu, Jackson Mayanja msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa