KOCHA STARS: LEO KENYA HAWATOKI, TUPO TAYARI KUPATA MATOKEO CHANYA
ETIENNE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa nafasi ni kubwa kushinda mbele ya Kenya leo.Stars ipo Kenya…
ETIENNE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa nafasi ni kubwa kushinda mbele ya Kenya leo.Stars ipo Kenya…
DAVID Molinga ‘Mwili Jumba’ ambaye ni badala wa Heritier Makambo jana amekiona cha moto baada ya kupewa mazoezi ya nguvu na Kocha Mkuu wa Yanga…
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20,’Tanzanite’ amesema kuwa leo kikosi kipo tayari kwa ajili ya…
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa timu ya KMC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa. KMC itamenyana na AS Kigali…
KARIOBANGI Sharks, wababe wa kikosi cha Everton ambacho kinadhaminiwa na SportPesa tayari wapo ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa…
ENEKIA Kasonga, nahodha wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, amesema kuwa kesho wanaendeleza moto wao wa ushindi kwenye michuano…
YANGA sasa kesho ndo kilele cha siku ya Mwananchi mambo yamepamba moto, Simba hawapoi pia ni kesho ndani ya SPOTIXTRA Jumapili
IMEELEZWA kuwa Paul Pogba anatumia nguvu kujiondoa ndani ya kikosi cha Manchester United. Pogba hajajiunga na kikosi ambacho kitacheza na AC Milan leo mchezo wa…
MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Azam FC na Ruvu Shooting umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.Mpaka dakika tisini zinakamilika hakuna timu iliyoona lango…
PAPPY Tshishimbi, nahodha wa kikosi cha Yanga amewataka mashabiki kesho kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kushushudia burudani.Kesho ni kilele cha siku ya Mwananchi ambapo…