Uncategorized
AZAM FC YATOSHANA NGUVU NA RUVU SHOOTING
admin
August 3, 2019
3:37 pm
MCHEZO wa kirafiki uliochezwa leo kati ya Azam FC na Ruvu Shooting umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu.
Mpaka dakika tisini zinakamilika hakuna timu iliyoona lango la mpinzani na kufanya ubao wa matokeo kusoma Azam FC 0 sawa na Ruvu Shooting.
Mchezo huu umechezwa Uwanja wa Chamazi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.