KOCHA: STARS ILIISHIWA MBINU MWANZO, WANA KAZI YA KUFANYA NCHINI KENYA
SAID Maulid, Kocha wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 wa Yanga, amesema kuwa tatizo kubwa la wachezaji wa timu ya Taifa wanashindwa kutumia…
SAID Maulid, Kocha wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 wa Yanga, amesema kuwa tatizo kubwa la wachezaji wa timu ya Taifa wanashindwa kutumia…
KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman Matola…
AZAM FC, leo itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Tanzania uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.Mchezo huu ni maalumu kwa…
DAVID Molinga amejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo.Nyota huyu ambaye ni mshambuliaji ni pendekezo la Kocha Mkuu, Mwinyi…
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa mwaka huu Simba hawatatoa hata shilingi mfukoni kununua vifaa vya mpira kutokana na dili nono…
MUSSA Mbisse mlinda mlango wa Mwadui FC awali hakuwa na mpango wa kuwa mchezaji bali ndoto zake ilikuwa aje kuwa mtumishi wa Bwana.Maono yake makubwa…
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili ya msimu ujao.Meneja huyo anajivunia…
KIKOSI cha Azam FC kinaedelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao kimataifa wa kombe la Shirikisho dhidi ya Fasil Kenema…
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakwenda kufanya vema nchini Kenya kwenye…
Na Saleh Ally YANGA imeanza maandalizi ya msimu mpya ikijiandaa katika kambi yake ambayo iko mjini Morogoro kwa siku kadhaa sasa. Kambi hiyo imekuwa ikiendelea…