Uncategorized

HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO

admin August 1, 2019 1:33 am

KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.

Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman Matola na ni miongoni mwa timu ambazo zitashriki Ligi Kuu Bara msimu ujao.

 Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Frank Lukwaro amesema kuwa watatumia rangi ya Blue wakiwa nyumbani na watatumia rangi nyeupe wakiwa ugenini kwa msimu wa mwaka  2019/2020.

KOCHA: STARS ILIISHIWA MBINU MWANZO, WANA KAZI YA KUFANYA NCHINI KENYA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply