YANGA: TUNASHUSHA MUZIKI MNENE KUWAMALIZA WAKALI WA EVERTON
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa klabu ya Kariobangi Sharks sio nyepesi kwani iliwanyoosha Eveton kutoka England.Deo Muta, Katibu wa Kamati ya Hamasa amesema kuwa utakuwa…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa klabu ya Kariobangi Sharks sio nyepesi kwani iliwanyoosha Eveton kutoka England.Deo Muta, Katibu wa Kamati ya Hamasa amesema kuwa utakuwa…
ROBERT Lewandowski nyota wa timu ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuiaji bora kutokea kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’. Ameshinda kiatu cha ufungaji bora…
LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa mwezi anakunja euro milioni 8.3…
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.Alikuwa ni mwanamichezo aliyekunja mkwanja mrefu…
LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.Koscienly aligoma kwenda kwenye kambi ya Arsenal nchini Marekani…
MENEJA wa Sporting CP, Marcel Keizer amesema kuwa mchezaji wake Bruno Fernandez anaweza kujiunga na Manchester United.Kiungo huyo alikuwa kwenye rada za United kabla ya…
Mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni ameachiwa huru bada ya kukamatwa na jeshi la Polisi kutokana na kufanya mkutano bila ya kuwa na kibali.Mzee Kilomoni…
Kukamatwa kwa mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni kutokana na kufanya mkutano wa waandishi wa habari bila ya kuwa na kibali, imezua gumzo kubwa. Katika…