Uncategorized

LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL

admin July 25, 2019 12:31 pm


LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.

Koscienly aligoma kwenda kwenye kambi ya Arsenal nchini Marekani akaitaka kulazimisha kuondoka klabuni hapo.

Beki huyo raia wa Ufaransa anataka kusepa baada ya klabu yake kumueleza kuwa itamuongezea mkataba ila inabidi akubali kulipwa nusu ya kile alichokuwa anapata awali.

Kwa sasa anapokea mshahara wa pauni 90,000 kwa wiki hivyo Arsenal ipo tayari kumpa mkataba wa miaka miwili ila akubali kupokea pauni 45,000 sawa na sh 129.

VIDEO: HAYA NDIYO ALIYOSEMA MZEE KILOMONI BAADA YA KUACHIWA NA POLISI WAFANYAKAZI WAPUNGUZIWA MSHAHARA KUMJAZIA CR 7

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply