BOCCO ALIAMSHA AFRIKA KUSINI, MBRAZILI NAYE AANZA KAZI SIMBA IKIMPIGA MTU 4-0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbet TVET.Mchezo wa leo ni…
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amedhihirisha makali yake leo ambapo amefunga mabao 2 kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbet TVET.Mchezo wa leo ni…
Yanga imeendelea kushinda mfululizo mechi zake za kurafiki kwa kuitwanga Moro Athletic Academy kwa mabao 7-0. Yanga ipo kambini Morogoro kujiandaa na msimu mpya wa…
Maurizio Sarri meneja wa Juventus ameutaka uongozi ufanye jitihada za kuipata saini ya beki wa Totthenham Danny Rose.Bosi huyo mpya wa Juventus ambaye ametokea Chelsea…
MGOGORO unaoendelea kati ya Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na mchezaji wake Gareth Bale umeelezwa kuwa unaidumisha thamani ya nyota huyo. Zidane hivi karibuni…
KLABU ya Al Ahly ambao ni waarabu wa Misri, imepindua meza kibabe mbele ya Simba baada ya kuweka dau la dola milioni moja zaidi ya…
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga umeamua kuwasimamisha nyota watatu wa kikosi cha kwanza kwa kushindwa kuripoti kambini. Andrew Vincent ‘Dante’, Juma Abdul na Kelvin Yondani ni…
1. Mohamed El Shenawy (GK) (Misri) 2. Wadji Kechrida (Tunisia)3. Riaan Hanamub (Namibia)4. Ayman Ashraf (Misri)5. Sfiso Hlanti (Zambia)6. Dean Furman (Zambia)7. Tarek Hamed (Misri)8. Ovidy…
KAIMU Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Ettiene Ndayiragije amesema kuwa uwezo wa wachezaji unaongezeka kila siku kadri wanavyafanya mazoezi.Stars ipo kwenye…
REKODI ya Gareth Bale akiwa ndani ya Real Madrid inavutia, amecheza jumla ya mechi 231 na kupachika mabao 102 huku akitoa pasi za mabao jumla…
UONGOZI wa KMC umesema kuwa hauna mashaka na kikosi walichopangiwa nacho kucheza nao kwenye michuano ya kimataifa kwani wana uwezo wa kufanya maajabu.Ofisa Habari wa…