WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.Magori amesema wachezaji hao…
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.Magori amesema wachezaji hao…
UWANJA wa Al Salam leo nchini Misri wanaume 22 watazitikisa nyasi kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Afcon.Nigeria itamenyana na Tunisa…
*Walioingia mtegoni, wanapaswa kujitafakari Na Saleh Ally UTAMBULISHO mzuri kwa sasa ni kuwa Irene Uwoya ni mfanyabiashara anayechipukia. Mwanadada ambaye angepaswa kupongezwa kutokana na wazo…
RATIBA ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup ipo namna hii:-Friends Rangers v Uv Temeke uwanja wa Kinesi, Julai 18.Burudani FC v Ball Kipaji…
OFISA Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wachezaji na uongozi wa timu kwa sasa wanafuraha baada ya kuwang’oa vigogo TP Mazembe.Jana Azam FC…
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limewataka wasanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufika katika ofisi za baraza hilo kesho, Julai 17,…
UONGOZI wa Simba umepanga kuwatoa kwa mkopo wachezaji wake Saba ambao wamekosa namba ndani ya kikosi cha kwanza.Ofisa Mtendaji wa Simba, Cresnticentius Magori amesema kuwa…
SHKODRAN Mustafi, beki wa Arsenal amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Mustafi amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho na…
SIMBA wameamua kujiweka sawa msimu huu ambapo baada ya kukwea pipa na kuweka kambi Afrika Kusini tayari wametangaza kucheza mechi tatu za kirafiki ili kujenga…