WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP
Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewazuia wachezaji wake kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Mwandila amewazuia wachezaji wake na badala yake amewataka waelekeze nguvu zao…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewazuia wachezaji wake kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Mwandila amewazuia wachezaji wake na badala yake amewataka waelekeze nguvu zao…
HATIMAYE kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali umefunga ushahidi rasmi na mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi …
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani mkubwa utakaoifanya klabu kuwa ndani ya timu tano kubwa barani Afrika.Simba leo…
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao michuano ya Kagame umewapa fursa ya kujifunza mambo mengi hasa kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ambayo itashiriki.KMC ilialikwa…
KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na Mzambia, Clatous Chama kwenye timu…
Wachezaji Mohammed Hussein, Said Ndemla na Ibrahim Ajibu wamekutana katika picha ya pamoja leo.Utatu huo umekutana tena baada ya misimu miwili iliyopita Ajibu kuwa Yanga…
Ujumbe aliouandika Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji ‘Mo’ ikiwa ni baada ya sekeseke lililojitokeza hivi karibuni juu ya yeye kuelezwa kuwa ataachana na Simba. “Hate…
KUMEKUCHA Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya nahodha msaidizi wa timu hiyo, Juma Abdul kudai kuwa vita ya namba msimu ujao itakuwa ni balaa…
LIONEL Messi staa wa timu ya Taifa ya Argentina anayekipiga kwenye klabu ya Barcelona ni miongoni mwa nyota wanaoingiza mkwanja mrefu kutokana na kipaji chake.Anakuja…
ZINEDINE Zidane meneja wa Real Madrid ameondoka katika kambi ya timu hiyo kwa dharula na kurejea nchini Canada kutokana na kupata matatizo ya kifamilia.Meneja msaidizi…