Uncategorized

AJIBU AKUTANA NA PACHA ZAKE SIMBA, BONGE LA SELFIE LAPIGWA

admin July 14, 2019 9:40 am


Wachezaji Mohammed Hussein, Said Ndemla na Ibrahim Ajibu wamekutana katika picha ya pamoja leo.

Utatu huo umekutana tena baada ya misimu miwili iliyopita Ajibu kuwa Yanga lakini sasa amerejea tena kunako Simba SC.

Ajibu amerejea baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na sasa atahudumu Simba mpaka mwaka 2021.

Watatu hao wamepiga SELFIE hiyo ya pamoja kabla ya semina maalum juu ya wachezaji wote wa Simba kuanza leo ambapo ilikuwa inahusiana na masuala mbalimbali juu yao kutoka kwa uongozi.

KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE AJIBU AWATETEMESHA KAHATA NA CHAMA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply