UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA SPOTI XTRA LEO JUMAPILI, HUKO SIMBA KUMENOGA
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
Muonekano wa gazeti la Spoti Xtra katika ukurasa wa mbele leo Jumapili.
NYOTA wa Simba, Marcel Kaheza kwa sasa yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga kwenye kikosi cha Tanzania Prisons.Kaheza amemalizana na AFC Leopards ya Kenya alikokuwa…
MLINDA Mlango mpya wa Yanga, Metacha Mnata amesema kuwa hana hofu na changamoto mpya ambazo atazipata ndani ya kikosi chake hicho.Mnata amejiunga na Yanga kwa…
UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.Akizungumza na Saleh…
MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.Kiungo huyo amekuwa akihusishwa kutua ndani ya…
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, beki Gadiel Michael ameweka hadharani ndinga yake mpya kupitia…
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa msimu ujao watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yao yote.Akizungumza na Saleh Jembe, Mguda amesema kuwa…
UONGOZI wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki na wadau wa Yanga kuacha vitendo vya kuihujumu nembo ya Yanga kwa kuchukua bidhaa feki kwani tayari wamepata…