Uncategorized

MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA

admin July 13, 2019 3:50 pm


MANCHESTER United imefutilia mbali nia yao ya kutaka kumsajili kiungo wa Southampton, Mario Lemina mwenye umri wa miaka 25.

Kiungo huyo amekuwa akihusishwa kutua ndani ya United pia anapigiwa hesabu na Arsenal.

Inaripotiwa ilikuwa ikimuwinda chinichini staa huyo mzaliwa wa Gabon ambaye hajasafiri na Southampton kwenye mechi za maandalizi za maandalizi ya msimu mpya, dau lake linatajwa kuwa pauni milioni 30.

SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA YA MAANA AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply