Uncategorized

AZAM FC YACHEKELEA KUTINGA ROBO FAINALI

admin July 13, 2019 4:20 pm

UONGOZI wa Azam FC umechekelelea kutinga hatua ya robo fainali baada ya timu ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC Jaffari Maganga amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kupenya hatua hiyo kutokana na ushindani uliopo.

“Tumepata fursa ya kupenya robo fainali baada ya KCCA kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mukura FC, hivyo kwa sasa tunaendelea kujipanga kutetea taji letu,” amesema Maganga.

MANCHESTER UNITED YAFUTA KABISA MPANGO WA KUMUWINDA LEMINA KIPA MPYA YANGA AIPA UBINGWA MAPEMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply