KIUNGO MPYA KUTOKA GHANA ATUA AZAM
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi, kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa…
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Richard Djodi, kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa…
Kama mlidhani Asante Kwasi amechuja, ngoja ishu yake na Biashara itiki asaini mkataba wa Kocha Amri Said.Kwasi ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika…
Nyota wa Difaa el Jadida ya Morocco, Mtanzania Saimon Msuva amefunguka kuwa kwa msimu ujao anaweza kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia barani Ulaya. Msuva…
TIMU za Taifa za Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika AFCON inayoendelea…
Wachezaji wa kimataifa wa Simba, akiwemo Meddie Kagere na Sharaf Shiboub wanaanza kuwasili jijini Dar es Salaam, kesho ijumaa tayari kujiandaa na msimu mpya wa…
KIUNGO wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ ametolewa kwa mkopo rasmi na klabu yake kwenda kujiunga na Namungo FC ambayo imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu.…
GADIEL Michael nyota mpya wa Simba amesema kuwa kazi yake kubwa ni kucheza hivyo atapambana kufanya vizuri ndani ya kikosi chake kipya.Michael amesaini kandarasi ya…
Kipa namba mbili wa Harambe Stars na Bandari ya Kenya, Farouk Shikalo ‘Wazza’ amefichua kuwa, ilibaki kidogo tu asijiunge na Yanga, lakini sasa atatua baada…
Kikosi cha timu ya Yanga kimewasili juzi mkoani Morogoro juzi tayari kwa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ambapo kimejichimbia kwenye Chuo cha Bibilia…